1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni 14.04.2018

Sylvia Mwehozi
14 Aprili 2018

Tuliyo nayo jioni hii: Rais Trump asifu mashambulizi ya Syria akisema lengo limetimia. Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linakutana kuhusu Syria. Na Maelfu wajitokeza katika mazishi ya Winnie Madikizela-Mandela.

https://p.dw.com/p/2w3cq