1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni: 13.12.2025

13 Desemba 2025

Mamlaka ya Hamas Gaza yaonya kuhusu mzozo mkubwa wa kibinadamu kutokana na mafuriko. Katibu Mkuu wa Umoja wa Kitaifa Antonio Guterres afanya ziara Iraq kuadhimisha mwisho wa misheni ya UNAMI. Marekani yaiondolea Belarus baadhi ya vikwazo vya kibiashara.

https://p.dw.com/p/55IsG