Matangazo ya Jioni 06.60.2020 | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 06.06.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Matangazo ya Jioni 06.60.2020

Dunia yaandamana kupinga mauaji ya George Floyd mmarekani mweusi aliyeuwawa na askari mweupe mjini Minneapolis Marekani, rais wa Misri Abdel-Fattah al-Sissi atangaza mpango wa kumaliza mgogoro wa Libya na Washirika wa Kansela wa Ujerumani Angela Merkel waukosoa uamuzi wa Trump wakupunguza wanajeshi wake Ujerumani

Sikiliza sauti 59:59