Maporomoko yanayovutia zaidi duniani | Mada zote | DW | 26.02.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Maporomoko yanayovutia zaidi duniani

Maji mara nyingi huwavutia watu. Hasa wakati yakiingia kwa nguvu kwenye vilindi. Hapa kuna maporomoko kumi ya kuvutia ya maji - kuanzia yale ya Niagara hadi mapromoko ya Rhine.