Maombolezi ya wahanga wa ADF DRC Mashariki | Matukio ya Afrika | DW | 18.05.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Maombolezi ya wahanga wa ADF DRC Mashariki

Katika kuwakumbuka maelfu ya raia waliouawa na waasi wa Uganda ADF kwa kukatwa mapanga wilayani Beni, katika kipindi cha miaka karibu miwili, mashirika ya kiraia mashariki mwa DRC yameitisha siku tatu za maombolezi.

Kwa kipindi cha siku tatu hizo, raia wa mji na wilaya ya Beni, wilaya ya Lubero na mji wa Butembo wanabaki majumbani, na magari pamoja na helikopta za tume ya Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo pamoja na magari ya mashirika ya kiutu ya kimataifa, hayaruhusiwi kuzunguka katika eneo hilo. Sikiliza ripoti ya John Kanyunyu kutoka Beni hapo chini.

Mhariri: Mohammed Abdul-Rhman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

IJUE DW

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com