1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Malipo ya juu ya intaneti yawakera vijana Afrika Kusini

Yusra Abdallah Buwayhid12 Juni 2019

Kwenye kipindi cha Sema Uvume, Yusra Buwayhid anamulika namna ambavyo gharama ya vifurushi vya intaneti inawaumiza wengi hasa vijana wanaojaribu kutafuta ajira kule Afrika Kusini. Pia anaangia masuala kuhusu teknolojia nchini Ghana ambako kampuni moja imevumbua programu ya kutambua dawa bandia kupitia simu ya mkononi. Kwa mengine mengi, sikiliza makala

https://p.dw.com/p/3KExr