Malaria – Kipindi 2 – Ujinga na ufahamu16.03.201116 Machi 2011Karembo ana furaha ya kumtembelea mama yake hospitali ambako amejifungua mtoto wa kiume. Akiwa nyumbani anafikiri kuwa amefanikiwa kuwashawishi wazazi wake kuweka vyandarua vya kuzuia mbu, lakini kweli amefanikiwa?https://p.dw.com/p/QolEMatangazo