Mahakama yaamua mzozo wa makaratasi ya kupigia kura | Uchaguzi Mkuu wa Kenya 2017 | DW | 20.07.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Uchaguzi mkuu kenya

Mahakama yaamua mzozo wa makaratasi ya kupigia kura

Mahakama ya rufaa Kenya imeshikilia kwamba kampuni ya Dubai ya al ghurair itachapisha karatasi za uchaguzi za urais. Mahakama imesema hamna ushahidi wa kumhusisha Rais Kenyatta na kampuni hiyo kama ulivyodai upinzani.

Sikiliza sauti 02:47
Sasa moja kwa moja
dakika (0)

Ripoti ya Shisia Wasilwa kutoka Nairobi

                

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com