Mahakama ya ICC yamkuta Dominic Ongwen na hatia | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 04.02.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Mahakama ya ICC yamkuta Dominic Ongwen na hatia

Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu - ICC imemkuta na hatia Dominic Ongwen, kamanda wa zamani wa waasi nchini Uganda aliyeshitakiwa kwa makosa 70 ya uhalifu dhidi ya ubinaadamu na uhalivu wa kivita. Mahakama hiyo imemkuta Ongwen na hatia 61 ya uhalifu wa kivita na dhidi ya ubinaadamu.

Tazama vidio 01:49