Madereva wanawake wa gari za mizigo Ghana | Media Center | DW | 01.05.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Madereva wanawake wa gari za mizigo Ghana

Uendeshaji wa magari ya mizigo umezoeleka kama kazi ya wanaume, lakini nchini Ghana hali hiyo inabadilika. Payin Marfo, amefungua kampuni ya kwanza ya usafiri ambayo madereva wake wote wa magari ya mizigo ni wanawake

Tazama vidio 02:14