Maandamano kumpinga Kabila yafanyika DRC | Matukio ya Afrika | DW | 26.05.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Maandamano kumpinga Kabila yafanyika DRC

Kundi kubwa la upinzani Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo lafanya maandamano kupinga dhamira ya rais Joseph Kabila kutaka kusalia madarakani baada ya muda wake kumalizika mwishoni mwa mwaka huu.

Sikiliza sauti 01:35
Sasa moja kwa moja
dakika (0)

Mahojiano na Saleh Mwanamilongo

Hata hivyo maandanamo hayo yamepigwa marufuku na serikali katika baadhi ya miji kama Goma na Lubumbashi lakini Kinshasa yameruhusiwa kufanyika. Kutoka huko Sudi Mnette amezungumza na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

IJUE DW

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com