1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maandalizi ya harusi ya kifalme kati ya Harry na Meghan

John Juma
18 Mei 2018

Zikiwa zimesalia saa chache kabla ya harusi ya kifalme kufanyika Uingereza kati ya Mwanamfalme Harry na mchumba wake Meghan, maandalizi yameendelea kufanywa kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa. Tazama sehemu ya maandalizi hayo kwenye video hii

https://p.dw.com/p/2xxwp