1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Harry

Henry Charles Albert David alizaliwa Septemba 15, 1984 kwa Charles, Mwanamfalme wa Wales, na Diana, Binti Mfalme wa Wales.

Wakati wa kuzaliwa kwake, alikuwa wa tatu katika msururu wa warithi wa kiti cha ufalme. Lakini baada ya baba yake, kaka yake mwanamfalme William na watoto wa William, George na Charlotte, Harry sasa hivi ni wa tano katika msururu wa urithi wa kiti hicho.

Onesha makala zaidi