London: Waumini washambuliwa kwa gari karibu na msikiti | Media Center | DW | 19.06.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

London: Waumini washambuliwa kwa gari karibu na msikiti

Mtu mmoja ameuawa mjini London wakati mshambuliaji alipowagonga kwa gari waumini waliokuwa wakitoka msikitini, Mchakato waanza rasmi Uingereza kujitoa katika Umoja wa Ulaya, Chama cha rais wa Ufaransa Emmanuel Macron chapata ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa bunge, Moto wauwa watu 62 nchini Ureno..Papo kwa Papo.

Tazama vidio 01:51