1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kutana na binti huyu mkali wa Hip Hop

23 Oktoba 2019

Rachel M binti wa miaka 13 tu kutoka nchini Uganda anataka kuwafikia vijana kote Uganda kwa kutumia muziki kufikisha ujumbe wake mzito kabisa wa usawa. Msikilize kwenye video hii.

https://p.dw.com/p/3Rnn3