1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Madhara kuongezeka kina cha maji ziwa Tanganyika

31 Agosti 2022

Ziwa Tanganyika ni moja ya maziwa makubwa ya Afrika, changamoto ya mabadiliko ya hali imesababisha kina cha maji kuongezeka na hata kubomoa nyumba za wakaazi wa eneo hilo. Wataalamu wa mazingira wanasema hatua za haraka zinapaswa kuchukuliwa

https://p.dw.com/p/4GGaW