Kuondolewa kwa magari yaliopo bandarini Mombasa nchini Kenya | Masuala ya Jamii | DW | 11.09.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Masuala ya Jamii

Kuondolewa kwa magari yaliopo bandarini Mombasa nchini Kenya

Nchini Kenya serikali imetangaza kwamba takriban magari 700 yataondolewa katika kipindi cha miezi miwili ijayo kwenye bandari ya Mombasa.

Bandari ya Mombasa nchini Kenya

Bandari ya Mombasa nchini Kenya

Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Mazingira John Michuki kwa sababu ya uhaba wa nafasi kwenye bandari hiyo ya Mombasa.Jumla ya tani milioni 14 ya mizogo husafirishwa kupitia bandari ya Mombasa.Nchi za Uganda,Rwanda,Burundi,Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo,kaskazini mwa Tanzania,eneo la Kusini mwa Sudan pamoja na Ethiopia hutumia badhari hiyo kusafirishia mizigo.

Ili kupata picha kamili Thelma Mwadzaya amezungumza na afisa wa uhusiano wa Mamlaka ya Bandari ya Mombasa Bernard Osero.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com