1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kulikoni taasisi za kidini kujihusisha na vita dhidi ya itikadi kali?

Wakio Mbogho (HON)5 Machi 2021

Usitishaji wa matukio ya ukiukaji wa haki za binadamu yanayohusiana na ugaidi pamoja na misimamo mikali ya kidini, utafikiwa kwa kuwakomesha wanaotumia vibaya mafundisho ya dini yanayosababisha upotoshaji kati ya waumini. Wadau kwenye sekta ya usalama nchini Kenya wanatumia mtazamo huu, kuwahusisha viongozi wa dini ili kuhimiza maadili yanayozingatia haki, amani na usalama.

https://p.dw.com/p/3qGwc