Jumla ya wagombea urais wanane akiwemo rais wa sasa Yoweri Kaguta Museveni watapambana katika nafasi hiyo pamoja na kiongozi wa upinzani Robert Kyagulani maarufu Bobi Wine.Uchaguzi wa mwaka huu wapiga kura kiasi milioni 21.6 wameandikishwa na tume ya uchaguzi kushiriki kwenye zoezi hilo