1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Kremlin

Kremlin ni ngome ya Urusi ya zama za kati. Neno hilo linatumika zaidi kumaanisha eneo lenye uzio mjini Moscow, kuliko na ikulu ya rais wa Urusi.

Kremlin ya Moscow ni ngome iliyoko karibu na uwanja mwekundu, kanisa la Mt. Basil na Mto Moskava. Ndani yake kuna kasri kadhaa na makanisa, yakiwemo makaazi rasmi ya rais wa Urusi. Hivyo neno "Kremlin" hutumika kwa kawaida kumaanisha serikali ya Urusi. Ukurasa huu unakusanya maudhui za DW juu ya Kremlin.

Onesha makala zaidi