Kongo yaanzisha operesheni dhidi ya waasi | Media Center | DW | 15.01.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Kongo yaanzisha operesheni dhidi ya waasi

Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo limeanzisha operesheni kubwa ya kijeshi dhidi ya waasi, likiwemo kundi la waasi wa Uganda, ADF, katika mkoa wa Kivu ya Kaskazini.

Tazama vidio 01:48
Sasa moja kwa moja
dakika (0)