1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
MichezoRwanda

Klabu ya APR yatoka sare 0-0 na Pyramids Ligi ya Mabingwa

Christopher Karenzi18 Septemba 2023

Klabu ya APR FC ya Rwanda imetoka sare 0-0 na Pyramids ya Misri kwenye raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika mnamo siku ya Jumapili, jijini Kigali. Mechi ya marudio itachezwa baada ya wiki mbili mjini Cairo, Misri. Pyramid ilizikosoa huduma za winga Ramadan Sobhi na kiungo Abdallah El-Said kutokana na majeraha. Sikiliza ripoti ya mwanamichezo wetu Christopher Karenzi kutoka Kigali.

https://p.dw.com/p/4WU2q