Kikwete ataachia uenyekiti wa CCM? | Matukio ya Afrika | DW | 05.05.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Kikwete ataachia uenyekiti wa CCM?

Kuna ripoti kwamba mchakato wa mwenyekiti wa CCM, Jakaya Kikwete kukabidhi nafasi hiyo kwa Rais Magufuli umekuwa ukisuwasuwa kutokana na madai kuwa mwenyekiti huyo hataki au anachelewsha kwa makusudi.

Sikiliza sauti 02:47

Mahojiano na Christopher Ole Sendeka

Jambo hilo linalelezwa kuzusha mgawanyiko ndani ya chama hicho kikongwe barani Afrika. Kufuatia taarifa hizo DW imezungumza na msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka na kwanza ameulizwa yaliyotokana na kikao cha Kamati Kuu cha Mei 3 mjini Dodoma.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

IJUE DW

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com