Kiir na Machar waelezea matumaini ya amani | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 26.06.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Kiir na Machar waelezea matumaini ya amani

Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir amesema anatumai kuwa mkutano wake na hasimu wake Riek Machar mjini KHARTOUM utamaliza mara moja vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini mwao

Tazama vidio 01:13
Sasa moja kwa moja
dakika (0)