Msikilize mchambuzi wa masuala ya siasa Deus Kibamba akizungumzia hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan wakati akizindua tume ya kuchunguza matukio ya baada ya Uchaguzi Mkuu nchini Tanzania. Kibamba alizungumza na mwandishi wetu Florence Majani kutoka Dar es Salaam aliyeanza kwa kumuuliza, kuhusu wajumbe wanaounda tume hiyo na pamoja na uhuru wake.