Kabila: ′Sitabakia madarakani kwa nguvu′ | Matukio ya Afrika | DW | 15.11.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo

Kabila: 'Sitabakia madarakani kwa nguvu'

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Joseph Kabila, amesema hana mpango wa kung'ang'ania madaraka. Ameahidi kuwa uchaguzi mkuu utafanyika ndani ya miezi michache badala ya mwishoni mwa mwaka 2016.

Sikiliza sauti 02:29

Ripoti ya Saleh Mwanamilongo

                                     

Sauti na Vidio Kuhusu Mada