1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaUganda

Jeshi la Uganda lashutuhumiwa kuingilia mchakato wa uchaguzi

SAUMU YUSUF9 Januari 2026

Jeshi la Uganda linaloongozwa na mtoto wa rais Kahoozi Kainerugaba linakosolewa kwa kujiingiza katika mchakato wa uchaguzi unaofanyika Januari 15. Kulikoni tuhuma hizi dhidi ya jeshi? Saumu Mwasimba amezungumza na mchambuzi wa kisiasa Kassim Kayira ili kujua ni kwa umbali gani jeshi la Uganda limejiingiza kwenye mchakato wa uchaguzi na linatishia vipi uwazi na haki kwenye uchaguzi huo?

https://p.dw.com/p/56Ynj
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Mahojiano