1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je upinzani nchini Kenya bado una nguvu chini ya Odinga?

Sylvia Mwehozi
7 Agosti 2019

Thelma Mwadzaya katika Kinagaubaga hii leo anazungumza na Katibu Mkuu wa chama cha upinzani cha ODM, Edwin Sifuna kuhusu changamoto zinazoukbali upinzani ukizingatia kuwa kiongozi wake Raila Odinga anafanya kazi na chama tawala cha Jubilee katika serikali ya rais Uhuru Kenyatta. Maswali bado yangalipo kuhusu mwelekeo wa upinzani nchini humo.

https://p.dw.com/p/3NUL9