1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, mashambulizi ya mabomu Uganda yachochewa na nini?

Daniel Gakuba26 Oktoba 2021

Kundi linalojiita Dola la Kiislamu IS limedai kuhusika na shambulio la Jumamosi nchini Uganda. Je, mashambulizi hayo ni ya ugaidi wa kimataifa kama IS inavyodai? Au yanatokana na mizozo ya ndani ya Uganda? Daniel Gakuba amezungumza na mchambuzi Ali Mutasa aliyeko mjini Kampala, ambaye anaanza kwa kumulika mafungamano kati ya IS  na kundi la uasi la Allied Democratic Forces, ADF.

https://p.dw.com/p/42Bdu