1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais Samia azindua Tume ya uchunguzi, nini kitarajiwe?

Josephine Karema20 Novemba 2025

Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania amezindua Tume ya uchunguzi wa vurugu zilizotokea siku na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 na kuipa siku 90 huku akisisitiza kuwa anaamini inao uwezo wa kuja na majawabu kwa masuala tete yaliyoibuka kwenye machafuko hayo.Mchambuzi wa masuala ya siasa Abdulkarim Ali Atik alizungumza na Tatu Karema na kutoa tathmini yake.

https://p.dw.com/p/53xZ4
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Mahojiano