1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

IGP wa zamani wa Uganda afikishwa mahakamani

Sylvia Mwehozi
24 Agosti 2018

Aliyekuwa mkuu wa jeshi la polisi Uganda Jenerali Kale Kayihura amefikishwa mbele ya mahakama ya jeshi siku ya Ijumaa na kusomewa mashtaka matatu ikiwemo kusaidia katika utekaji nyara wa wakimbizi wa Rwanda na pia wakosoaji wa serikali ya nchi hiyo jirani. Papo kwa Papo 24.08.2018.

https://p.dw.com/p/33ibF