1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Gerhard Schröder

Kwa wale ambao hawajasoma kitabu cha wasifu wa Gerhard Schröder, kansela huyo wa zamani wa Ujerumani anajulikana kama mwanamageuzi. Wajerumani wengi makini wanaweza kumbuka Schröder kama mwanzilishi wa dhana ya Hartz.

Schröder aliezaliwa 1944, alikuwa kansela wa Ujerumani kuanzia 1998 hadi 2005. Alijikuta akizongwa na kashfa baada ya kutetea ujenzi wa bomba ambalo lingeinufaisha kampuni ya nishati ya Urusi Gazprom kama kansela na baadae kukubali uteuzi wa kuongoza kamati ya wawekezaji ya kampuni hiyo. Kisera, Schröder alichukuwa hatua kuondoa matumizi ya nishati ya nyuklia na kufadhili nishati jadidifu, aliwaruhusu wapenzi wa jinsia moja, na aliimarisha mfumo wa ustawi wa jamii wa Ujerumani kwa kuanzisha programu ya misaada ya Hartz I-IV.

Onesha makala zaidi