DW Kiswahili katika mitandao ya kijamii | Anza | DW | 04.10.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

DW Kiswahili katika mitandao ya kijamii

Kaulimbiu ya Idhaa yetu inasema "Tunavuma kwa Kishindo" na kama unavyofahamu, hatuvumi tu katika redio bali pia kwenye mitandao ya kijamii kama vile Facebook, Twitter, Instagram, Youtube na WhatsApp. Katika Sema Uvume, elizabeth Shoo anajadili namna unavyoweza kutumia mitandao hiyo kupata habari kutoka kwetu lakini. Pamoja na hayo, wasikilizaji mnatuambia jinsi ya kuboresha huduma zetu.

Sikiliza sauti 09:45