1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Deutsche Bank

Deutsche Bank AG ni taasisi ya kimataifa ya Ujerumani inayotoa huduma za kibenki na fedha, yenye makao yake mjini Frankfurt.

Deutsche Bank inaajiri zaidi ya wafanyakazi 100,000 katika mataifa zaidi ya 70, na uwepo mkubwa barani Ulaya, Amerika, Asia ya Pacifik, na katika masoko yanayoinukia. Mwaka 2009 ilikuwa mtoaji mkubwa zaidi wa huduma za fedha za kigeni duniani, ikidhibiti asilimia 21 ya soko hilo.