SiasaChina yaadhimisha miaka 40 ya mageuziTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaMohammed Khelef18.12.201818 Desemba 2018China inaadhimisha miaka 40 ya mageuzi makubwa ambayo yamelifanya liwe taifa lenye nguvu za kiuchumi, kijeshi na kibiashara, lakini Rais Xi Jinping anasema kuendelea kwa taifa lake hakumaanishi kuyaangamiza mengine.https://p.dw.com/p/3AIZ2Matangazo