1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

CHADEMA yazungumzia vurugu za Uchaguzi Mkuu, Tanzania

Saumu Yusuf11 Novemba 2025

Chama Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania CHADEMA ambacho hakikushiriki Uchaguzi Mkuu kimezungumzia jinsi kilivyoutazama uchaguzi huo na matukio yaliyofuatia. Hii ikiwa ni mara ya kwanza kwa uongozi wa juu wa chama hicho kutoa kauli. Makamu Mwenyekiti wa chama hicho John Heche aliyeachiliwa jana kutoka rumande pamoja na mengine amezungumzia matukio ya vurugu na vifo jinsi yanatazamwa na CHADEMA.

https://p.dw.com/p/53Rrd
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Mahojiano