Burundi yasema haitatoa ushirikiano kwa mahakama ya ICC | Media Center | DW | 10.11.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Burundi yasema haitatoa ushirikiano kwa mahakama ya ICC

Burundi yasema haitatoa ushirikiano kwa mahakama ya ICC ambayo hapo jana ilipata idhini ya kuchunguza uhalifu wa kibinadamu nchini humo, mzozo kati ya Iran na Saudi Arabia kuhusu Lebanon wazidi kuchacha, na Spika wa Bunge la Catalonia lililovunjwa alala mahabusu. Ni Papo kwa Papo.

Tazama vidio 01:47
Sasa moja kwa moja
dakika (0)