Besigye akamatwa na apoteza wakili | Matukio ya Afrika | DW | 29.02.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Besigye akamatwa na apoteza wakili

Kiongozi wa upinzani Uganda, Kizza Besigye, amekamatwa tena na polisi. Ni muda mchache kabla ya kutaka kwenda mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi. Aidha, wakili wake mmoja amesema hatamwakilisha tena.

Sikiliza sauti 02:16

Ripoti ya Emmanuel Lubega kutoka Kampala

Sauti na Vidio Kuhusu Mada