1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Berlinale

Berlinale ni tamasha kubwa la filamu linalofanyika mjini Berlin kila mwaka mwezi Febuari, na linalovutia maelfu ya watu duniani kote.

Tamasha la Berlinale kawaida linawakilisha takriban filamu 400 za Kijerumani pamoja na nyengine kadhaa za kimataifa. Ni tamasha la siku 10 na lilianzishwa 1951. Tokea 2001, tamasha hili limekuwa likiongozwa na Dieter Kosslick.