Bayern waisakama Hoffenheim Bundesliga | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 25.10.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Bayern waisakama Hoffenheim Bundesliga

Bayern Munich waishushia kipigo Hoffenheim 4-0 na kuendelea kupepea katika Bundesliga huku Bochum wakiishangaza Eintracht Frankfurt nyumbani. Game over! Nje! Kibarua cha kocha wa Wolfsburg Mark van Bommel chaota mbawa. Liverpool yainyoa bila maji Manchester United ligi ya Premier. Klabu ya Simba yabanduliwa mashindano ya ligi ya mabingwa barani Afrika

Sikiliza sauti 09:46