1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
MigogoroHaiti

Baraza la Usalama la UN kujadili juu ya kadhia nchini Haiti

6 Machi 2024

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linatarajiwa kufanya mkutano wa dharura kujadili juu ya hali ilivyo nchini Haiti. Magenge ya uhalifu yametishia kulitumbukiza taifa hilo kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe iwapo Waziri Mkuu Ariel Henry hatajiuzulu. Kipi kinaendelea nchini Haiti? Hawa Bihoga amezungumza na mchambuzi wa siasa za kimataifa profesa David Monda akiwa nchini Marekani.

https://p.dw.com/p/4dEie