BANGKOK:Thailand yapata waziri Mkuu mpya,Jenerali Surayud Chulanont | Habari za Ulimwengu | DW | 01.10.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

BANGKOK:Thailand yapata waziri Mkuu mpya,Jenerali Surayud Chulanont

Watawala wapya wa kijeshi nchini Thailand wametangaza katiba mpya ya muda ambayo pia imeungwa mkono na mfalme Bhumibol.

Watawala hao pia wamemteua Jenerali Surayud Chulanont kuwa waziri mkuu mpya.

Lakini jeshi litakuwa na mamlaka ya kumfukuza kazi waziri mkuu huyo endapo itabidi.

Jeshi pia litaendelea kudhibiti sehemu kubwa ya mamlaka hadi hapo uchaguzi utakapofanyika mwaka kesho.

Jenerali Sarayud Chulanont mwenye umri wa miaka 62 ni ascari jarabati anaeheshimiwa na jeshi na raia.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com