Amnesty International yataka wanajeshi Myanmar wafikishwe ICC | Media Center | DW | 27.06.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Amnesty International yataka wanajeshi Myanmar wafikishwe ICC

Shirika la haki za binaadamu la Amnesty International limechapisha ushahidi mpya unaoonesha ukatili unaofanywa dhidi ya jamii ya Rohingya nchini Myanmar, ikiwa na majina 13 ya makamanda wakuu wa kijeshi ambao linasema lazima washitakiwe kwa uhalifu dhidi ya ubinaadamu. Papo kwa Papo 27 Juni 2018.

Tazama vidio 01:22
Sasa moja kwa moja
dakika (0)