Al-Shabaab yashambulia AMISOM | Matukio ya Afrika | DW | 09.06.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Al-Shabaab yashambulia AMISOM

Al-Shabaab imesema imewaua wanajeshi 43 katika shambulio dhidi ya kituo cha wanajeshi wa Ethiopia wanaohudumu katika ujumbe wa kulinda amani wa Umoja wa Afrika nchini humo - AMISOM.

Sikiliza sauti 02:29

Mahojiano na Hussein Aweis kutoka Mogadishu

AMISOM nayo inasema imewauwa wapiganaji wa kundi hilo kiasi ya 110 wa kundi hilo. Kutoka mjini Mogadishu DW imezungumza na mwandishi habari Hussein Aweis na kwanza ameulizwa nilitaka kujua kwanini kunakuwa na taarifa tata?

Sauti na Vidio Kuhusu Mada