Al-Shabaab waua 12 Mandera, Kenya | Anza | DW | 25.10.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Al-Shabaab waua 12 Mandera, Kenya

Watu 12 wameuliwa kwenye nyumba ya kulala wageni katika shambulio la al-Shabaab huko Mandera, Kenya, Dola la Kiislamu limewaua watu wasiopungua 60 katika chuo cha polisi Pakistan, wakimbizi wachoma ofisi ya kuombea hifadhi Ugiriki kupinga hali duni kwenye kambi zao na wananchi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati wapinga uwepo wa kikosi cha kulinda usalama cha Umoja wa Mataifa.

Tazama vidio 01:50
Sasa moja kwa moja
dakika (0)