1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
MichezoRwanda

Al Hilal Benghazi yatoka sare 1-1 na Rayon Sports ya Rwanda

Christopher Karenzi
25 Septemba 2023

Klabu ya Al Hilal Benghazi ya Libya imetoka sare ya 1-1 na Rayon Sports ya Rwanda katika mchuano wa Kombe la shirikisho barani Afrika. Klabu hiyo ya Libya itasalia Kigali kwa wiki moja wakisubiri mchezo wa marudiano utakaochezwa Septemba 30. Sikiliza ripoti ya mwandishi wetu Christopher Karenzi kutoka Kigali, Rwanda.

https://p.dw.com/p/4Wmvw