1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaSyria

Al-Assad anyooshewa mkono wa urafiki na Jumuiya ya Kiarabu

Hawa Bihoga19 Mei 2023

Kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2011, Rais wa Syria Bashar al-Assad anashiriki katika mkutano wa kilele wa jumuiya ya nchi za Kiarabu unaofanyika mjini Jeddah, Saudi Arabia. Je, ni ajenda zipi zimetawala mkutano huo? Sikiliza mahojiano kati ya Hawa Bihoga na mchambuzi wa masuala ya Mashariki ya Kati Ahmed Rajab.

https://p.dw.com/p/4Rakt