Ajira kwa watoto bado ni tatizo India | Media Center | DW | 12.06.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Ajira kwa watoto bado ni tatizo India

Kila mwaka mnamo Juni 12 ni siku ya kupambana na ajira kwa watoto ulimwenguni. Kwa upande wa bara la Asia, watoto wapata milioni 4.4 wa kati ya miaka mitano hadi kumi na nne wanalazimika kufanya kazi nchini India. Hali ikoje katika nchi unayoishi?

Tazama vidio 02:01