AI: Jeshi Nigeria liliwabaka wanawake | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 24.05.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

AI: Jeshi Nigeria liliwabaka wanawake

Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu Amnesty International, limeitaka Nigeria kuyashughulikia madai kwamba wanajeshi na baadhi ya wanamgambo; wamewabaka wanawake na wasichana katika kambi za wakimbizi wa machafuko yanayosababishwa na uasi wa Boko Haram

Tazama vidio 01:11