1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Filamu

Afrika katika tamasha la Berlinale

12 Machi 2020

Kila mwaka, mji mkuu wa Ujerumani, Berlin, ni mwenyeji wa tamasha la kimataifa la filamu Berlinale. Linatoa nafasi kuzionesha filamu kutoka sehemu mbali mbali za dunia zinazowania tuzo zinazotolewa kwenye maonesho hayo. Mara nyingi filamu za kutoka Afrika zinatoweka kwenye macho ya hadhara lakini tamasha hilo bado linabakia kuwa muhimu kwa watengenezaji wa filamu kutoka barani humo.

https://p.dw.com/p/3ZHA5